Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Nasikia UTO wamegoma kwenda uwanjani.... Ngoja tuone itakavyo kuwa...Walioko uwanjani leteni Hali iko vp uko au wote mko mkoani Kam mm
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Unapiga kelele hapa umeenda uwanjani...?Wananchiiiiiiiiiiiiiiiii
[emoji172][emoji169]
Picha linaaanza....Nasikia uwanja upo mtupu....Yanga wauwawe.
Huyu Funguo [emoji360] Nadhani sasa mmeanza kuelewa uchezaji wake tulivyokuwa tunawambia, ndo maana akianza kwenye kikosi au akianzia benchi wala hamshangai.Dickson Job leo benchi
Nasikia mmegoma kwenda uwanjani....Staki Mtu Aguse Comment yangu [emoji2][emoji849][emoji2] yanga oyeeeeeee[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Bora hata mamaako angekuzaa chooni tu Kenge wa kike wewe [emoji1]kwa uchungu huu ulionao bila shaka siku zako za kujifungua zimekaribia.
NB: MAKASIRIKO YAKO MPELEKEE LUC EYMAEL-YANGA WOTE NI UMBWA.
Ubongo wako nadhani unashida kidogo kujua sababu ni nini mpaka saizi uwanjani hapa bado watu si wengiUwanja hauna shabiki hata mmoja... Halafu mnajiita timu ya wanachi... Mbona mmeitupa timu yenu...?
Kila mtu apambane na hali yakeBADO NUSU SAA TAIFA LIAIBIKE
US MONASTIR DAMU [emoji91][emoji91][emoji1249][emoji1249][emoji1249][emoji881][emoji881]
Punguwani mwenyewe, mi huwa namjibu Mtu kadri ajavyo, ukinijia kibangi bangi, nami nakujia kikoein kokein huwa sinaga unafki kabisa kwa Wapumbavu kama ninyi, Jinga Jinga kuu la ulimwenguni wewe [emoji1787]Angalia huyu Mwehu, ana tabia ya Nyani kutoliona Kundule lake, mbona Jana wewe hapa umewaita wenzako Kenge, kwahivyo ulidhani huwezi kukutana na wahuni wenzako, sasa unalalamika nini? Lile ambalo hulipendi basi usifanyie mwenzako anza kujifunza sasa..Punguani wa Akili.
Cc Lawamakwetucheo
Nimecheka utafikiri mazuri... Ngoja tuone...BADO NUSU SAA TAIFA LIAIBIKE
US MONASTIR DAMU [emoji91][emoji91][emoji1249][emoji1249][emoji1249][emoji881][emoji881]
ingekuwa ni simba Uwanja ungefurika hivyo hivyo hata kama mvua inanyesha... Iwe mvua iwe juaUbongo wako nadhani unashida kidogo kujua sababu ni nini mpaka saizi uwanjani hapa bado watu si wengi
mkuu... Inasikitisha sana yan...Uto wamekimbia uzi, wamekimbia kwa Mkapa pia, ni kuishi kwa matumaini tu