FT: Yanga SC 2-0 US Monastir | CAFCC | Benjamin Mkapa | 19.03.2023

FT: Yanga SC 2-0 US Monastir | CAFCC | Benjamin Mkapa | 19.03.2023

[mention]Moderator [/mention] ule uzi wangu uleteni huku. Nyuzi 2 with the same subject matter
 
Dickson Job leo benchi
Huyu Funguo [emoji360] Nadhani sasa mmeanza kuelewa uchezaji wake tulivyokuwa tunawambia, ndo maana akianza kwenye kikosi au akianzia benchi wala hamshangai.
 
Here we go.........daima mbele 💛💚💪
IMG-20230319-WA0004.jpg
 
Uwanja hauna shabiki hata mmoja... Halafu mnajiita timu ya wanachi... Mbona mmeitupa timu yenu...?
 
Angalia huyu Mwehu, ana tabia ya Nyani kutoliona Kundule lake, mbona Jana wewe hapa umewaita wenzako Kenge, kwahivyo ulidhani huwezi kukutana na wahuni wenzako, sasa unalalamika nini? Lile ambalo hulipendi basi usifanyie mwenzako anza kujifunza sasa..Punguani wa Akili.

Cc Lawamakwetucheo
Punguwani mwenyewe, mi huwa namjibu Mtu kadri ajavyo, ukinijia kibangi bangi, nami nakujia kikoein kokein huwa sinaga unafki kabisa kwa Wapumbavu kama ninyi, Jinga Jinga kuu la ulimwenguni wewe [emoji1787]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom