FT: Yanga SC 2-0 US Monastir | CAFCC | Benjamin Mkapa | 19.03.2023

FT: Yanga SC 2-0 US Monastir | CAFCC | Benjamin Mkapa | 19.03.2023

Mpaka sasa mnajivunia kagoli kamoja? Wakati wenzenu mida kama hii jana zilikuwa zinasoma tatu....tena klabu bingwa, sio hii ya walifeli, mashindano ya hisani, ya walioshindwa(sympathy) toka CAF
 
Kweli hili kombe la waliofeli UWANJA KAMA DIMBWI LA UTO PALE JANGWANI [emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617]
 
Wananchiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii wanachiiiiiiiiiiiiiiiiiii
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Mazembe mambwa sana haya. Kumbe ndio maana Utopolo iliwashindilia za kutosha. Yani leo mpaka kipofu anaona mwezi huko Bumaco
 
Back
Top Bottom