OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
- Thread starter
-
- #681
Yanga wanatandaza mpira
Prngine yeye ni Mtunisia,anaonyesha uzalendo kwa Nchi yake.Hakuna tatizoUwe mzalendo basi mkuu.. Simba ikisonga na Yanga ikisonga ni fahari kwa nchi
Mayele ni fighter sana kwenye kutafuta bao
Forward pasi tu,mabeki walikuwa wamepoteajamaa alikuwa nyuma ilikuwa ngumu kumpa
sema kipa wa leo anajitaidi sio wale wa jana wa malimao
Weee acheni zenuu Tulikuepoooooo sieeMbona umlikuwa mnajificha hamna imani na team yenu
Taarifa imfikie Okwi Boban SunzuMayele ni fighter sana kwenye kutafuta bao
Tulisubiri Kwanza nyie mtangulieMbona umlikuwa mnajificha hamna imani na team yenu