FT: Yanga SC 2-0 US Monastir | CAFCC | Benjamin Mkapa | 19.03.2023

FT: Yanga SC 2-0 US Monastir | CAFCC | Benjamin Mkapa | 19.03.2023

Tuwe waungwana jamani, ni lini hii timu ya Yanga itajifunza kutandaza kandanda safi na la kuvutia??

Timu ya hovyo hawawezi kupiga hata pasi nne zilizokamilika!
 
Na ndio ligi iliyofanya Simba mpigwe faini mil 23 na caf kwa kuroga uwanjani.kama ni loosers kwanini mlitumia nguvu nyingi mpaka kurogk
unakubali hiyo ligi ya losers au hukubali?? Ina maana leo mnamkataa zeruzeru wenu yule?
 
Back
Top Bottom