Unamkataa zeruzeru leo? Jibu swaliWapi limeandikwa loosers?
NimechekaHana "h" huyo msamehe
Jana nimekuita hukujaaa jamani mpk 7 zinaingia zote?? 😆 😆 😆Nimecheka
Jana sijawa online toka nilivyotoka asubuhi kipenzi nilikuwa busy kwenye harusi ya kaka yangu hizo 7 zenyewe nimekuja kuona saa saba usiku nisamehe bure dearJana nimekuita hukujaaa jamani mpk 7 zinaingia zote?? [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Reference yako manara sio? Baba yako akimuita mama yako mp<mbavu na wewe utakuwa unamuita mama yako mpumbavu sio?Unamkataa zeruzeru leo? Jibu swali
Una maanisha set piece ball?Faulo kwenda Yanga
2-0Pumzi ya moto kwa YANGA