FT: Yanga SC 2-0 US Monastir | CAFCC | Benjamin Mkapa | 19.03.2023

FT: Yanga SC 2-0 US Monastir | CAFCC | Benjamin Mkapa | 19.03.2023

Kwani ww una points? Baada ya kushinda ugegenini na mimi nina ngapi.

Hatua ya kuingia Makundi mechi ya Mwisho nilishinda kwenye uwanja gani? na kwenye nchi gani?

Ukishajua nchi kacheki Rank za CAF halafu fananisha na uliyo shinda wewe na niliyo shinda mimi ndipo utajua hujui.
Achanae huyo
 
Yanga anafungwa au sare,na ikishakuwa hivo maana yake ni kuwa Tp mazembe anashinda kule kwa Bamako na kisha anamsubiri yanga kwa hamu pale Lubumbashi amfanyie circumcision afikishe points 9 yanga abaki na points 7 au 8 zake.

Yanga hafuzu,nipo paleeee....
Unaloa ukowa wapi?? 😂😂😂
 
Yanga kaingia robo fainali yani ni kama hamna kilichotokea, kimya watu bado wapo bize na ushindi wa jana,, ushindi mkubwa dhidi ya timu kubwa kwenye mashindano makubwa ya caf champions league,, ushindi wa kihistoria kwenye mechi yenye kuamua hatma. Anyways hongereni ila kwanini hamtaki kutuelewesha, sisi tunaitambua champions league pekee nyie wenzetu huko kwingine mnashirikishana nini ??
 
Zilizo nifikia wakati huu ni kwamba, mvua kubwa inanyesha dimba lote la mkapa limejaa maji mithili ya swimming pool,,..

NB: Hakuna uchawi unaofanya kazi kwenye mvua, hivyo msishangae zikapigwa set pieces mbili wananchi tukalala na viatu tena mapema sana..
Au sio zuwena fc
 
Unaumia na matokeo ukiwa wapi 😁
ehee hayo ndo👆maneno ya utani wa jadi sasa.

mimi ndugu yangu historia hii imeniuma sana,hivi mlikua pungufu ama?👇
images (1).jpeg
 
Back
Top Bottom