zipompa
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 11,432
- 24,596
haina mbaya tukiwapiga 5 kwa 1Leo ndo ule usemi wa Both team to score
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haina mbaya tukiwapiga 5 kwa 1Leo ndo ule usemi wa Both team to score
nchi ilisha bangazwa kwa goli 3 haiwez jirudiaSiku ya nchi Kubagazwa leo😆😆
Angalia huyu Mwehu, ana tabia ya Nyani kutoliona Kundule lake, mbona Jana wewe hapa umewaita wenzako Kenge, kwahivyo ulidhani huwezi kukutana na wahuni wenzako, sasa unalalamika nini? Lile ambalo hulipendi basi usifanyie mwenzako anza kujifunza sasa..Punguani wa Akili.Taahira lililotukuka limeona sahihi kabisa kuwaita Binadamu wenzake mmbwa kama vile Ndugu zake wote ni Makolokolo, kweli umbumbumbu ni kipaji [emoji847]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Jana watu wa yanga walikua wameshika tama sana sijui kwanini na wasiwasi mwingi kweli kweliWatu wa Simba mmeipania mechi ya leo mtazani yenu mpaka uzi mmefungua nyinyi, ukirudi huku kwenye inbox msg kibao za wana Simba. Yaani leo kwenye vijiwe mpaka mabenchi mmeyatoa nyinyi.
Ila leo tukiharibu hii wiki ijayo itakuwa ndefu sana kwetu, mnakamia mpaka mechi za wenzenu.
Bora wewe una akili.Kila la heri watani wetu.
Kwa sasa sote tuna tetea bendera moja ya Taifa letu.
Wananchiiiiiii iiiiiiiiiiiiiiiiii iiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii iiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii iiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii iiiiiiiiiiiiiiiiiii iiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii iiiiiiiiiiiiiiiiiii iiiiiiiiiiiiiiiiiiiii iiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiHii kauli itawaponza yanga