Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
InshallahUnnecessary arguments ni zile ulizokuwa unabwata jana wakati wa game ya jana.
Tulia uchezewe mpira.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
InshallahUnnecessary arguments ni zile ulizokuwa unabwata jana wakati wa game ya jana.
Tulia uchezewe mpira.
Rage anatakiwa aheshimiwe sana maana aliwajua vema watu alivyokuwa anawaongozayule walipigwa hana msaada ni mzigo tu.
Naona hawataki mikimbio tena.yule walipigwa hana msaada ni mzigo tu.
Wenye mechi yao wamritelekeza mada[emoji23]Wajamaa yanatisha
AibuuuMnachoogopea ni nini. Yaani kweli hii issue ndogo ni ya kukimbia?
Unatafuta excuse isionekane we ni among runners?Mbona unataka uwapangie watu muda wa kuja Jukwaani na kuondoka? Hapa mechi ikianza hutaniona maana naangalia mechi live kiwanjani........yaani niache kuangalia mechi niwe busy na Simu?
Rage alikua kiongozi wa FAT.Rage anatakiwa aheshimiwe sana maana aliwajua vema watu alivyokuwa anawaongoza