Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,308
- 32,757
JUMA UMRI PALE UMEMZID
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilikuwa tayari 3Jana dakika kama hizi mnyama alijuwa tayari ashawainua mashabiki kwa kelele za shangwe!
Monastir muda wowote wanapigwa
mbele ya kipa namba 2 na wachezaji walio na morali ya chini mnoooooJana dakika kama hizi mnyama alijuwa tayari ashawainua mashabiki kwa kelele za shangwe!
Liuwanja limejaa majiiiii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
yanga anakupigia mpira mkubwa hadi unafurahiSisi Monastr tumeathiriwa na uwanja kujaa maji ila watatuelewa tu hawa ngoja wachoke kwanza
Ni kama wamekuja kutafuta droo. Wote wapo nyuma. Wanacheza 442.Monastir muda wowote wanapigwa
Hakuna uhusiano wowote ule wa mechi ya Tunisia na hii ya leoUtakuwa hukuangalia game ya Tunisia wewe.
Hawa chura walirukaruka hivi hivi, ila kilichowakuta wanajua.