FT: Yanga SC 2-0 US Monastir | CAFCC | Benjamin Mkapa | 19.03.2023

FT: Yanga SC 2-0 US Monastir | CAFCC | Benjamin Mkapa | 19.03.2023

Waarabu wanaweza kukuacha ucheze utakavyo, wanakuja kukupiga kimoja tu cha kushtukiza wanamaliza mchezo. Hii mechi haina tofauti na ile ya Al Hilal.
 
Uwanja sio rafiki kabisa. Wanadondoka tu.
 
Waarabu wanaweza kukuacha ucheze utakavyo, wanakuja kukupiga kimoja tu cha kushtukiza wanamaliza mchezo.
hii inaitwa kujipa moyo
mwarabu anapigiwa mpira
mwarabu anakufa

yanga sio nyau kupigwa 3
 
Yanga kuweni na akili nyie makolo,watu ni warafu Bado mnalazimisha mipira ya Juu,hata Tunisia mlicheza hivyo hivyo.
 
Back
Top Bottom