ngosha wa mwanza
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 3,832
- 11,964
Mbona waarbu wanachelewesha furaha kwetu sisi waaarabu wa tabora[emoji41]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niko hapa naisubiri counter moja tu ya mwarabu[emoji1787][emoji1787]Kocha wa Kibanda umiza toka mbumbumbu fc
mfumo wa kumzuia yanga ni wa ulinzi wa anga toka urusi hii mingine hakuna kitu kwa yangaMnaingizwa kwenye mfumo bila kujijua.
Hizi siyo mechi za NBC mtegemee kufanya mambo yenu wakati wa mapumziko.hii inaitwa kujipa moyo
mwarabu anapigiwa mpira
mwarabu anakufa
yanga sio nyau kupigwa 3
Dah ila hii mechi draw alternatively kimoko
Kwa hiyo hii thread ni yetu sisi wenyenchi?Kuna nyuzi 2 za mechi hii, wengi wapo huku...
Thread 'Yanga SC Vs US Monastir | CAFCC | Benjamin Mkapa | 19.03.2023' Yanga SC Vs US Monastir | CAFCC | Benjamin Mkapa | 19.03.2023
Kalale mkuuMechi ya hovyo sana