Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WainueHaaaaaaa jamani hawa waarabu vip tena wananiangusha...
Kombe la looser 😆😆😆😆View attachment 2557449
Mabingwa wa kutandaza soka tamu, soka la kuvutia, soka la kumtoa nyoka pangoni, soka ice cream, soka lenye viwango vya Dunia, hapa nawazungumzia Young Africans leo mida ya saa 1.00 usiku watashuka pale dimba la Benjamini Mkapa kutafuta alama tatu zingine ili kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kuingia robo fainali ya michuano ya shirikisho barani Afrika.
Ikumbukwe kuwa mchezo wa awali uliopigwa huko nchini TUNISIA [emoji1249] timu ya US MONASTIR iliichakaza vibaya sana wananchi kwa kuwafunga 2-0 hivyo mchezo wa leo utakuwa mkali kwa timu zote. Yanga anahitaji ushindi ili afuzu robo fainali kwa mara ya kwanza
Utopolo mje sasa
Naona ndio mnaingiaWananchi tunapata kimoko paleeeeeeeee ooooooo
Watakugeuza kabisa,maana tayari wamekuangusha,kuwa makini mkuuHaaaaaaa jamani hawa waarabu vip tena wananiangusha...
Mliniacha peke yanguWananchi tunapata kimoko paleeeeeeeee ooooooo
Yanga 1-0 MontessoriYanga timu mbovu sana hii
Waite wana waje na ole wao waniponde .. Mtakachokipata hamtanisahauTwende kazi
Na mimi nataka nikupige kimoja sasa twende sawa na Wanatopolo.Wananchi tunapata kimoko paleeeeeeeee ooooooo
Waache waje baadae watakimbiaWapo njiani.....