[emoji3][emoji3][emoji3]Gamond anafanana sana na Haji Manara, hivi wanaundugu?
Nililisema hilo...mwisho wa msimu huu hatumtaki...Gamond anafanana sana na Haji Manara, hivi wanaundugu?
Tena abagazwe haswaa ili tufurahi zaidiAnafirimbwa UTO raha naona mimi!
hapana, ila wazazi wao walikuwa majiraniGamond anafanana sana na Haji Manara, hivi wanaundugu?
unatoa aucho kiungo mkabaji, unatoa pacome kiungo mchezeshaji. really?