FT: Yanga SC 2-1 Mashujaa FC | NBC Premier League | Azam Complex | 08.02.2024

FT: Yanga SC 2-1 Mashujaa FC | NBC Premier League | Azam Complex | 08.02.2024

Bado moja limewapa energy kubwa Mashujaa wanashambulia Uto hapa
 
Nimeahidi milioni 20 kwa Mashujaa. 10m ni kesho asubuhi. 10m nyingine mwisho wa mwezi. Droo tu nataka
 
Nne Yanga wanaandika bao la nne kwa mkwaju mkali wa Guede
20230801_132216.jpg
 
unatoa aucho kiungo mkabaji, unatoa pacome kiungo mchezeshaji. really?
 
Back
Top Bottom