FT: Yanga SC 2-1 Mashujaa FC | NBC Premier League | Azam Complex | 08.02.2024

Kwa jinsi mzunguko wa pili wa ligi ulivyoanza kila timu imekua bora lakini hiyo haizuii Yanga kupata point tatu mbele ya Mashujaa
 
Kikianza kipindi cha pili atakayekuja kufukua zile nduma zao kama walivyofanya juzi na Dodoma Jiji msiwe wapole pigeni kama mnaua mwizi .
 
Kila la heri kwa wananchi. Ingawa kwenye hizi siku za karibuni matokeo yamekuwa yakipatikana kwa mbinde kweli kweli ukilinganisha na wadogo zetu simba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…