Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Mpira ni maslahi.kazi ni ngumu, Timu tunazocheza nazo zimeanza kuwekewa milioni 200 kutukazia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpira ni maslahi.kazi ni ngumu, Timu tunazocheza nazo zimeanza kuwekewa milioni 200 kutukazia
Hamna point hapo. Mpira ni maslahi. Hata wakipewa B ili washinde against Yanga/Simba ni sawa.Mbona hata simba walikuwa wanawekea na viongozi wa serikali wanaoshabikia yanga.
View attachment 2897974
Mungu awatangulie wanetu Mashujaa
Nafikiri game yao ya Mwisho mliiona.
Kazeni, mnawaweza sana hawa
Pacome hayupo?Mshujaa kama vile wamekamia sana
Leo Utopwinyox hachomoi hii gameAll the best mashujaaa
Humwoni, anakabika kirahisi sanaPacome hayupo?