FT: Yanga SC 2-1 Mashujaa FC | NBC Premier League | Azam Complex | 08.02.2024

FT: Yanga SC 2-1 Mashujaa FC | NBC Premier League | Azam Complex | 08.02.2024

Mbona hata simba walikuwa wanawekea na viongozi wa serikali wanaoshabikia yanga.
Hamna point hapo. Mpira ni maslahi. Hata wakipewa B ili washinde against Yanga/Simba ni sawa.
 
Yanga wanapoteza nafasi wazi kabisa
 
Yao Kwasi, anawasukuma straiker wetu
 
Back
Top Bottom