FT: Yanga SC 2-1 Mashujaa FC | NBC Premier League | Azam Complex | 08.02.2024

Kikosi kimeshatoka, sijamuona Lomalisa kwenye lineup...naona ashaanza kua gari la mkaa, trip moja shamba trip moja garage. Anaumia umia sana sijui umri ama vipi?! Game ilopita alitolewa akiwa anachechemea nafasi yake akiingia Kibabage
 

Mungu awatangulie wanetu Mashujaa

Nafikiri game yao ya Mwisho mliiona.
Kazeni, mnawaweza sana hawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…