Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Huyo atapeleka kilio mechi ijayo kwenye kundi la wanyama 😄Mashujaa Peleka msiba mzito kwenye dimbwi la Vyura
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo atapeleka kilio mechi ijayo kwenye kundi la wanyama 😄Mashujaa Peleka msiba mzito kwenye dimbwi la Vyura
[emoji617]MATCH DAY[emoji617]
[emoji471] #NBCPremierLeague
[emoji460]️ Young Africans SC Vs Mashujaa FC
[emoji414] 08.02.2024
[emoji909] Azam Complex
[emoji797] 1:00 Usiku
Kila la heri Young Africans Sports Club
Wàtapigwa kipigo kikali hadi waseme aliyewaahidi Pesa nani kwa wenge la kipigoMashujaa wakitekwa si mnajua wanachofanywaga ??
Maxi zengeeeeeeeli
Yanga 5 mashujaa 0
Mashujaa wakitekwa si mnajua wanachofanywaga ??
Maxi zengeeeeeeeli
Yanga 5 mashujaa 0
Na hawataaminiLeo Yanga anafungwa
Kishinda na njaa labda1-2 mashujaa wanashinda
Leo mmewaahidi ngapi mkuu? Maana juzi Mtenje alilalamika sana kuzikosa zile mlizoahidiView attachment 2897974
Mungu awatangulie wanetu Mashujaa
Nafikiri game yao ya Mwisho mliiona.
Kazeni, mnawaweza sana hawa
Hizo ndiyo maana halisi ya ndoto za mchana kweupe,acha kulala mchana mkuuLeo Yanga anafungwa
Bila shaka huu ni utabiri wa sisiemu kirumba0 - 0 ft
Daima mbele nyuma mwiko 💛💚💪Wananchi 4 life 💚 💛 💚 💛 💚 💛