FT: Yanga SC 2-1 Mashujaa FC | NBC Premier League | Azam Complex | 08.02.2024

Mbona hata simba walikuwa wanawekea na viongozi wa serikali wanaoshabikia yanga.
Hamna point hapo. Mpira ni maslahi. Hata wakipewa B ili washinde against Yanga/Simba ni sawa.
 
Dakika ya 10.
Yanga 0- 0 Mashujaa
 
Mshujaa kama vile wamekamia sana
 
Yanga wanapoteza nafasi wazi kabisa
 
Yao Kwasi, anawasukuma straiker wetu
 
Huyu Baraka Mtui ni Mangi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…