Red black
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 18,719
- 60,636
AaahAll the best Young Africans💛💚
Lolote baya liwapate pamba jiji
AaahAll the best Young Africans💛💚
Lolote baya liwapate pamba jiji
Huwa nilishangaa sana mlipobisha kuwa yanga haina thamani ya bilioni moja kwa sasa🤔You never know
Ukibetia mapenzi kanji ye anakucheka tu😀Kila la kheri Cotton
Japo mkeka nimewabetia UTO
Yanga bingwa 🔥Aaah
watu walishindwa kufungua code tu ila uhalisia uto ni timu ya ccmHuwa nilishangaa sana mlipobisha kuwa yanga haina thamani ya bilioni moja kwa sasa
Futa hio kauli mamaYanga bingwa 🔥
Kauli nafuta lkn naipenda Yanga😁Futa hio kauli mama
Kuna watu zaidi ya 10 wanaweka mzigo , na ni watu wazito , kuna kamati ya roho mbaya wao pesa kwao ni uchafu tu , usishangae wachezeji wa simba wakivunjwawatu walishindwa kufungua code tu ila uhalisia uto ni timu ya ccm
aah hapo sawa 😀Kauli nafuta lkn naipenda Simba🦁
Noma sanaKuna watu zaidi ya 10 wanaweka mzigo , na ni watu wazito , kuna kamati ya roho mbaya wao pesa kwao ni uchafu tu , usishangae wachezeji wa simba wakivunjwa
Kila siku nawaambia watu, Yanga hatokua bingwa hadi mtandao ung'oke.Usitegemee siku mtandao utadondoka ndio siku yanga watapoteza ubigwa
Ukisikia Mo malengo yake ni ubigwa wa africa ujue , kuna kitu nyuma ya paziaNoma sana
Of course jamaa alisema target ya Simba ni kuleta tuzo ya Africa I mean CafUkisikia Mo malengo yake ni ubigwa wa africa ujue , kuna kitu nyuma ya pazia
Kumbe na wewe unajua , kuna wanangu mmoja yupo uto ndani ndani huko kanipenyezea hizo , na hata hapo simba wanao watu wao , kila kinachofanyika kipo waziKila siku nawaambia watu, Yanga hatokua bingwa hadi mtandao ung'oke.
Vinginevyo ni YEYE kila msimu.
Simba imejaa wachumia tumbo , na huko uto kuna wanazo noti, sioni ikifika mbali , na kuna wimbi la wachezaji kibao wa simba watahamia uto kula pension , kwa chochoro za viongozi walafi.Of course jamaa alisema target ya Simba ni kuleta tuzo ya Africa I mean Caf
Asiye tambua hilo bas ni hayawani, Yanga ni team ya mtandao, na kiongozi wao anajulikana wazi wazi, hata pale alipovaa madaraka, alijipambanua wazi yeye ni shabiki wa team gani.Kumbe na wewe unajua , kuna wanangu mmoja yupo uto ndani ndani huko kanipenyezea hizo , na hata hapo simba wanao watu wao , kila kinachofanyika kipo wazi
kila kitu kina mwisho wake.Simba imejaa wachumia tumbo , na huko uto kuna wanazo noti, sioni ikifika mbali , na kuna wimbi la wachezaji kibao wa simba watahamia uto kula pension , kwa chochoro za viongozi walafi.
Nomakila kitu kina mwisho wake.
Kwann uteseke babakila kitu kina mwisho wake.