kelphin
JF-Expert Member
- Dec 24, 2019
- 10,617
- 17,620
Utaipenda.Kila la kheri Cotton
Japo mkeka nimewabetia UTO
Utaipenda.Kila la kheri Cotton
Japo mkeka nimewabetia UTO
Haiwezi kutokea.Kwann uteseke baba
Hamia Yanga bas😉
😒😒Haiwezi kutokea.
Oi mkuu naona Yanga wanacheza mpira mbovu kinoma huyu kocha mi simwelewi tactics zake ngoja tusubiri... Kiungo kati wanacheza hovyo kabisaYaani mpaka sasa hivi Yanga haijafunga tu?
Ngoma imeanza
Yanga inatisha
Hamna kitu yaniOi mkuu naona Yanga wanacheza mpira mbovu kinoma huyu kocha mi simwelewi tactics zake ngoja tusubiri... Kiungo kati wanacheza hovyo kabisa