FT: Yanga SC 3 - 0 Pamba jiji FC | NBC Premier League |Benjamin Mkapa Stadium | September 24, 2025

Daaah ila mmecheza chini yya kiwango sana.

Feruzi simuoni Pasaka
 
Nilitegemea labda kutakuwa na mabadiliko chanya kadri wanavyocheza mechi mbeleni ila naona hali ndio mbaya zaidi. Huyu Yanga itaishia makundi tu kimataifa kama wataendelea nae
Tatizo sijajua ni kocha au wachezaji ndio hawaja click.

Ila leo mmecheza under perfomance sana.
 
Watakuwa wamekosea sana kumvumilia hadi pasaka
Wampe muda ila ndio hivyo timu za Kariakoo hazijawahi kuwa na uvumilivu.

Ngoja labda sub kadhaa zikifanyika zinaweza kubadilisha mandhari ya mchezo.
 
Mashabiki wenzangu wa Yanga msimlaumu sana kocha Romain Folz.
1. Kwanza bado ni mgeni!
2. Timu ina wachezaji wengi wazuri! Kwa hiyo wote wana haki ya kucheza.
3. Timu ina mechi ya marudiano siku chache zijazo dhidi Williete ya Angola.
4. Timu inaongoza kwa goli 1 mpaka sasa.
5. Pamba siyo timu mbovu kivile. Na ndiyo maana inaonesha ushindani.

NB:- Tumpe kocha muda. Na tusiingie kwenye mtego wa lawama kama wafanyavyo mashabiki wa simba kwa timu yao.
 
Huyu Kouma hata kama amefunga ila hana kiwango cha kumzidi Shkhan yule dogo mzenji...tuthamin vya kwetu
 
Mashabiki wenzangu wa Yanga msimlaumu sana kocha Romain Folz.
1. Kwanza bado ni mgeni!
2. Timu ina wachezaji wengi wazuri! Kwa hiyo wote wana haki ya kucheza.
3. Timu ina mechi ya marudiano siku chache zijazo dhidi Williete ya Angola.
4. Timu inaongoza kwa goli 1 mpaka sasa.
5. Pamba siyo timu mbovu kivile. Na ndiyo maana inaonesha ushindani.

NB:- Tumpe kocha muda. Na tusiingie kwenye mtego wa lawama kama wafanyavyo mashabiki wa simba kwa timu yao.
Acha siasa, macho hayadanganyi.
 
Hayo yote uliyoorodhesha sio sababu ya kuifanya Yanga icheze mpira mbovu mechi zake.
 
Naona kuingia kwa Doumbia na Andabwile kumeanza kuleta mabadiliko pale kati.

Ila Mussa Balla Conte inawezekana tumepigwa eti! Ukimlinganisha na Khalid Aucho, aisee ni mbingu na ardhi. 😱
 
Mbona kama ni own goal hivi?
1758734993215.png
 
Back
Top Bottom