FT: Yanga SC 3 - 0 Pamba jiji FC | NBC Premier League |Benjamin Mkapa Stadium | September 24, 2025

FT: Yanga SC 3 - 0 Pamba jiji FC | NBC Premier League |Benjamin Mkapa Stadium | September 24, 2025

Naona kuingia kwa Doumbia na Andabwile kumeanza kuleta mabadiliko pale kati.

Ila Mussa Balla Conte inawezekana tumepigwa eti! Ukimlinganisha na Khalid Aucho, aisee ni mbingu na ardhi. 😱
Naunga mkono hoja mkuu
 
Naona kuingia kwa Doumbia na Andabwile kumeanza kuleta mabadiliko pale kati.

Ila Mussa Balla Conte inawezekana tumepigwa eti! Ukimlinganisha na Khalid Aucho, aisee ni mbingu na ardhi. [emoji33]
Achukuliwe Aucho kwa mkopo dirisha dogo
 
Muhimu timu inashinda. Ingekuwa inafungwa, au kutoa sare; tungelalamika ingekuwa sawa. Bado unahitajika muda kwa kocha mpya kuingiza falsafa zake kwenye timu, na pia wachezaji wapya kuzoeana na wale wa zamani.
Exactly 💯
 
Simba na Yanga msimu huu kwa hivi vikosi vyao wana kazi mbele ya Azam na Singida
 
Simba na Yanga msimu huu kwa hivi vikosi vyao wana kazi mbele ya Azam na Singida
azam ipi unaizungumzia? Hii iliyocheza na al hilal bentiu na mbeya city? Acha kuzifananisha yanga na simba na takataka zingine.
 
Back
Top Bottom