Ndio ninayo unasemaje?Pole sana. Unayo maji makubwa hapo?
Hakika mpaka waombe msamahaBadae twende kwenye Uzi wa kihasibu wa azizi ki
Huyu refa huenda ana maagizo kutoka juu.Mwamuziii
Leo wanafungwa tu hawa Azam.Azam wameshawazisha hapa.
Akina Aucho wanasindikiza
Hata ushindi ikibidi shindeniAzam tunataka droo tu
Kama wamemzomea ni wapuuzi. Mimi shabiki wa Yanga lakini sipendi upuuzi wa aina hiiYanga wanamzomea feitoto akigusa mpira