Hmmh..!Half time possession
Yanga 43% Azam 57%
Kwani mnacheza AFL?VAR imeendaga wap si juzi ilikuwepo?
Utabiri unaelekea kutimiaFull time, yanga 1 - azam 3, nipo nmekaa palee, sijawah tabiri vibaya
Lala tu dadaKama wameamua kuwapa Azam ushindi si wapewe tu jamani? Too much!