FT: Yanga SC 4-0 Pamba jiji SC | NBC Premier League | Azam Complex | Octoba 03, 2024

FT: Yanga SC 4-0 Pamba jiji SC | NBC Premier League | Azam Complex | Octoba 03, 2024

Attachments

  • images (91).jpeg
    images (91).jpeg
    56.4 KB · Views: 3
Maxi Nzengeli 𝐌𝐀𝐍 𝐎𝐅 𝐓𝐇𝐄 𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇 mchezo wetu wa leo dhidi ya Pamba Jiji FC🙌🏽
 
Wachezaji ni kama washachoka na kuna muda unaona ubora wao waliokuwa nao misimu miwili nyuma umepungua kwa kiasi kikubwa.

Walianza na mechi ya Ken Gold wakatoka na bao moja, Ken Gold ambao hawakuwahi kupata hata point 1 katika michezo yake yote.

Wakijitetea kuwa sababu ni mechi ya mkoani na wao wamekuwa na bahati mbaya na mkoa wa Mbeya.

Mashabiki wakaamini hivyo. Mechi yao na KMC ndio iliyokuja kuwakatisha tamaa mashabiki.

KMC naye alikuwa amepoteza mechi 2 huku mechi moja akiwa amefungwa na Azam bao 4 kwa bila.

So mashabiki wakaona kwa Yanga yao jinsi ambavyo inamsumbua Azam basi wakajiwekea matarajio makubwa kwenye hiyo mechi.

Lakini matokeo yakaja tofauti ushindi ni goli moja.

Sasa tangia hapo ni kama Yanga wakaunda mkakati mwingine wa ziada wa kufanya lolote linalowezekana ili mechi ya leo iwe na magoli mengi kurudisha hope kwa fans.
Pole yako huo mkakati omba usije kukukuta iyo trh 19, Maana mikakati 3 mfululizo ishakutoboa!
 
Hata hapa ilikuwa ni Bahasha 🤣

Kolo ni kolo tu
Mbona hilo liko wazi? Siku kadhaa kabla ya mechi kuna Wadau walioimba TFF kwa kushirikiana na Takukuru wachunguze miamala ya simu ya baadhi ya Wachezaji wa Simba. Hao . Wachezaji wengine mnao huko kwa sasa.
 
Ni Kweli Kolo.
Hata kile kimoko cha mwisho tulikinunua🤣🤣🤣

Sasa sijui kwanini Bosi wenu Tajiri namba moja TZ asinunue?.🤣🤣🤣

Kolo ni kolo tu
 
Sasa tangia hapo ni kama Yanga wakaunda mkakati mwingine wa ziada wa kufanya lolote linalowezekana ili mechi ya leo iwe na magoli mengi kurudisha hope kwa fans.
Na isitoshe Yanga na Pamba wote ni wajukuu wa Gsm yani leo tuliangalia Movie badala ya mpira.
 
Back
Top Bottom