Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
2023 goli mbili bila ligi kocha akiwa Robertinho.Sijui 2021 ile lake Tanganyika fainali ya shirikisho🤣🤣
Mana sikumbuki! Tangu ile Ya Mayele akawachomoa goli 2 washawahi kutufunga kweli hawa ?
Una ushahidi na unaloongea!?Amecheza hivyo kwa maelekezo na ndio tunaita upangaji wa matokeo
Nimescreenshot hii comment itatumika kwenye michezo ijayo 😂😁😁😁😁😂😁😁Wepesi sana mdau!
Ninamaanisha nyie wadhaifu sana
Hamna lolote.
Hamwezi chochote pasipo na juhudi za marefa
Baelezee baambieUna ushahidi na unaloongea!?
Halafu wabongo bana kwa kuropoka.
Tukutane kwa MkapaNimescreenshot hii comment itatumika kwenye michezo ijayo 😂😁😁😁😁😂😁😁
Tukutane kwa Mkapa
Kayumba yumba kama kapombe alivyoyumba Dodoma Rose mhando akawaokoa! Ni Bora muwe mnafunga midomo yenu maana mnajiaibisha!Mchezaji kafanyiwa faulo nje ya box lakini kayumba yumba mpaka kaangukia kwenye box
Na refa kwa sababu ni sehemu ya script wala hata hakutaka kujiuliza mara mbili
Wachezaji ni kama washachoka na kuna muda unaona ubora wao waliokuwa nao misimu miwili nyuma umepungua kwa kiasi kikubwa.Gsm anaharibu Ligi yetu hawa Pamba wanacheza huku wanatembea aisee nimeshangaa mnoo.
Nikumbushe hilo tukio la Kapombe lilifanyika dakika ya ngapi?Kayumba yumba kama kapombe alivyoyumba Dodoma Rose mhando akawaokoa! Ni Bora muwe mnafunga midomo yenu maana mnajiaibisha!
Wabongo tuna matatizo kichwani.Baelezee baambie
We jamaa huwa UNAROPOKA mashudu aiseee!!Wachezaji ni kama washachoka na kuna muda unaona ubora wao waliokuwa nao misimu miwili nyuma umepungua kwa kiasi kikubwa.
Walianza na mechi ya Ken Gold wakatoka na bao moja, Ken Gold ambao hawakuwahi kupata hata point 1 katika michezo yake yote.
Wakijitetea kuwa sababu ni mechi ya mkoani na wao wamekuwa na bahati mbaya na mkoa wa Mbeya.
Mashabiki wakaamini hivyo. Mechi yao na KMC ndio iliyokuja kuwakatisha tamaa mashabiki.
KMC naye alikuwa amepoteza mechi 2 huku mechi moja akiwa amefungwa na Azam bao 4 kwa bila.
So mashabiki wakaona kwa Yanga yao jinsi ambavyo inamsumbua Azam basi wakajiwekea matarajio makubwa kwenye hiyo mechi.
Lakini matokeo yakaja tofauti ushindi ni goli moja.
Sasa tangia hapo ni kama Yanga wakaunda mkakati mwingine wa ziada wa kufanya lolote linalowezekana ili mechi ya leo iwe na magoli mengi kurudisha hope kwa fans.
Naunga mkono hojaWabongo tuna matatizo kichwani.
Ukiwauliza walete ushahidi wataunya unya tu.
Ni kupaki tu na counter attackKweli kabxa itakuwa aibu sana kufungwa tena na utopolo, japo simba ikiingia kwa kutaka kupishana na yanga basi simba lazme atakufa nyingi.
Itabid itumike tu njia nyingne mbadala
Hujahitimisha!Wachezaji ni kama washachoka na kuna muda unaona ubora wao waliokuwa nao misimu miwili nyuma umepungua kwa kiasi kikubwa.
Walianza na mechi ya Ken Gold wakatoka na bao moja, Ken Gold ambao hawakuwahi kupata hata point 1 katika michezo yake yote.
Wakijitetea kuwa sababu ni mechi ya mkoani na wao wamekuwa na bahati mbaya na mkoa wa Mbeya.
Mashabiki wakaamini hivyo. Mechi yao na KMC ndio iliyokuja kuwakatisha tamaa mashabiki.
KMC naye alikuwa amepoteza mechi 2 huku mechi moja akiwa amefungwa na Azam bao 4 kwa bila.
So mashabiki wakaona kwa Yanga yao jinsi ambavyo inamsumbua Azam basi wakajiwekea matarajio makubwa kwenye hiyo mechi.
Lakini matokeo yakaja tofauti ushindi ni goli moja.
Sasa tangia hapo ni kama Yanga wakaunda mkakati mwingine wa ziada wa kufanya lolote linalowezekana ili mechi ya leo iwe na magoli mengi kurudisha hope kwa fans.
Tunatunza coments kwa ajili ya tarehe 19Timu pungufu Kama hii, bado una struggle.!
Utopolo bado