FT: Yanga SC 4-0 Pamba jiji SC | NBC Premier League | Azam Complex | Octoba 03, 2024

Hii Yanga itafungwa na nani?

Wananchi wamewafunga wa midomo baada ya kuwadondoshea kipigo kizito Pamba Jiji ikiwa ndio ushindi mkubwa zaidi kwao tangu msimu huu kuanza.
IMG_0033.jpeg

Ushindi huo unaifanya Yanga kufikisha alama 12, ikishinda mechi zote Nne za Msimu huu wa 2024/25 wakati Pamba ikiwa na alama 4, imefungwa mechi 3, sare 4 nafasi ya 15 na haijashinda mchezo wowote kati ya 7 waliyocheza hadi sasa.

Young Africans SC 4-0 Pamba Jiji FC
 
Sijui 2021 ile lake Tanganyika fainali ya shirikisho🤣🤣
Mana sikumbuki! Tangu ile Ya Mayele akawachomoa goli 2 washawahi kutufunga kweli hawa ?
2023 goli mbili bila ligi kocha akiwa Robertinho.
Mbaka wakamuita Robertinho mbabe wa Yanga.
At the end Yanga ikamfukuzisha mwaka huu kwa goli 5.
 
Mchezaji kafanyiwa faulo nje ya box lakini kayumba yumba mpaka kaangukia kwenye box

Na refa kwa sababu ni sehemu ya script wala hata hakutaka kujiuliza mara mbili
Kayumba yumba kama kapombe alivyoyumba Dodoma Rose mhando akawaokoa! Ni Bora muwe mnafunga midomo yenu maana mnajiaibisha!
 
Gsm anaharibu Ligi yetu hawa Pamba wanacheza huku wanatembea aisee nimeshangaa mnoo.
Wachezaji ni kama washachoka na kuna muda unaona ubora wao waliokuwa nao misimu miwili nyuma umepungua kwa kiasi kikubwa.

Walianza na mechi ya Ken Gold wakatoka na bao moja, Ken Gold ambao hawakuwahi kupata hata point 1 katika michezo yake yote.

Wakijitetea kuwa sababu ni mechi ya mkoani na wao wamekuwa na bahati mbaya na mkoa wa Mbeya.

Mashabiki wakaamini hivyo. Mechi yao na KMC ndio iliyokuja kuwakatisha tamaa mashabiki.

KMC naye alikuwa amepoteza mechi 2 huku mechi moja akiwa amefungwa na Azam bao 4 kwa bila.

So mashabiki wakaona kwa Yanga yao jinsi ambavyo inamsumbua Azam basi wakajiwekea matarajio makubwa kwenye hiyo mechi.

Lakini matokeo yakaja tofauti ushindi ni goli moja.

Sasa tangia hapo ni kama Yanga wakaunda mkakati mwingine wa ziada wa kufanya lolote linalowezekana ili mechi ya leo iwe na magoli mengi kurudisha hope kwa fans.
 
Kayumba yumba kama kapombe alivyoyumba Dodoma Rose mhando akawaokoa! Ni Bora muwe mnafunga midomo yenu maana mnajiaibisha!
Nikumbushe hilo tukio la Kapombe lilifanyika dakika ya ngapi?
 
Wachezaji ni kama washachoka na kuna muda unaona ubora wao waliokuwa nao misimu miwili nyuma umepungua kwa kiasi kikubwa.

Walianza na mechi ya Ken Gold wakatoka na bao moja, Ken Gold ambao hawakuwahi kupata hata point 1 katika michezo yake yote.

Wakijitetea kuwa sababu ni mechi ya mkoani na wao wamekuwa na bahati mbaya na mkoa wa Mbeya.

Mashabiki wakaamini hivyo. Mechi yao na KMC ndio iliyokuja kuwakatisha tamaa mashabiki.

KMC naye alikuwa amepoteza mechi 2 huku mechi moja akiwa amefungwa na Azam bao 4 kwa bila.

So mashabiki wakaona kwa Yanga yao jinsi ambavyo inamsumbua Azam basi wakajiwekea matarajio makubwa kwenye hiyo mechi.

Lakini matokeo yakaja tofauti ushindi ni goli moja.

Sasa tangia hapo ni kama Yanga wakaunda mkakati mwingine wa ziada wa kufanya lolote linalowezekana ili mechi ya leo iwe na magoli mengi kurudisha hope kwa fans.
We jamaa huwa UNAROPOKA mashudu aiseee!!
 
Kweli kabxa itakuwa aibu sana kufungwa tena na utopolo, japo simba ikiingia kwa kutaka kupishana na yanga basi simba lazme atakufa nyingi.
Itabid itumike tu njia nyingne mbadala
Ni kupaki tu na counter attack
 
Wachezaji ni kama washachoka na kuna muda unaona ubora wao waliokuwa nao misimu miwili nyuma umepungua kwa kiasi kikubwa.

Walianza na mechi ya Ken Gold wakatoka na bao moja, Ken Gold ambao hawakuwahi kupata hata point 1 katika michezo yake yote.

Wakijitetea kuwa sababu ni mechi ya mkoani na wao wamekuwa na bahati mbaya na mkoa wa Mbeya.

Mashabiki wakaamini hivyo. Mechi yao na KMC ndio iliyokuja kuwakatisha tamaa mashabiki.

KMC naye alikuwa amepoteza mechi 2 huku mechi moja akiwa amefungwa na Azam bao 4 kwa bila.

So mashabiki wakaona kwa Yanga yao jinsi ambavyo inamsumbua Azam basi wakajiwekea matarajio makubwa kwenye hiyo mechi.

Lakini matokeo yakaja tofauti ushindi ni goli moja.

Sasa tangia hapo ni kama Yanga wakaunda mkakati mwingine wa ziada wa kufanya lolote linalowezekana ili mechi ya leo iwe na magoli mengi kurudisha hope kwa fans.
Hujahitimisha!
Kwahiyo wameunda mkakati upi sasa tukamchambe GSm
 
Back
Top Bottom