FT: Yanga SC 4-0 Pamba jiji SC | NBC Premier League | Azam Complex | Octoba 03, 2024

Maxi Nzengeli 𝐌𝐀𝐍 𝐎𝐅 𝐓𝐇𝐄 𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇 mchezo wetu wa leo dhidi ya Pamba Jiji FC🙌🏽
 
Pole yako huo mkakati omba usije kukukuta iyo trh 19, Maana mikakati 3 mfululizo ishakutoboa!
 
Hata hapa ilikuwa ni Bahasha 🤣

Kolo ni kolo tu
Mbona hilo liko wazi? Siku kadhaa kabla ya mechi kuna Wadau walioimba TFF kwa kushirikiana na Takukuru wachunguze miamala ya simu ya baadhi ya Wachezaji wa Simba. Hao . Wachezaji wengine mnao huko kwa sasa.
 
Mbona hilo liko wazi? Siku kadhaa kabla ya mechi kuna Wadau walioimba TFF kwa kushirikiana na Takukuru wachunguze miamala ya simu ya baadhi ya Wachezaji wa Simba. Hao . Wachezaji wengine mnao huko kwa sasa.
Ni Kweli Kolo.
Hata kile kimoko cha mwisho tulikinunua🤣🤣🤣

Sasa sijui kwanini Bosi wenu Tajiri namba moja TZ asinunue?.🤣🤣🤣

Kolo ni kolo tu
 
Sasa tangia hapo ni kama Yanga wakaunda mkakati mwingine wa ziada wa kufanya lolote linalowezekana ili mechi ya leo iwe na magoli mengi kurudisha hope kwa fans.
Na isitoshe Yanga na Pamba wote ni wajukuu wa Gsm yani leo tuliangalia Movie badala ya mpira.
 
2023 goli mbili bila ligi kocha akiwa Robertinho.
Mbaka wakamuita Robertinho mbabe wa Yanga.
At the end Yanga ikamfukuzisha mwaka huu kwa goli 5.
Ile match waliuza kina bangala shaban juma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…