changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Sikushangai maana najuaga una kichwa kigumu mixed na ukweli kuwa ulishaapa kwa katiba ya Yanga kuwa bishana hadi ufe. Halafu hauna hata chembe ya aibu. Najua umesoma ukaona jinsi post zako mwenyewe zilivyokuumbua unatafuta pa kutokea haupaoni. Sasa hivi unabeti nichoke nikuache.
Soma hapa ulipokuwa dalali wa IFFHS
Ksanza jifunze kustick kwenye hoja moja kisha ikishafikia muafaka ndipo unaenda na hoja nyingine. Hiwa sijuagi kujadilana na watu wasiojua kupangilia hoja na kustick kwenye hoja. Sasa unataka nikujibu swala la IFFHS au la kuhusu clean vs goal difference katka ligi ambalo ndio ilikuwa ndio hoja yako Tafuta mwingine wa kupotezeana nae muda, siwezi kupoteza nguvu zangu kwa mtu kama wewe usiyejua kujibu hoja wala kupangilia hoja wala kustick kwenye hoja.