Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
HakikaRekodi imeandikwa💛💚
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HakikaRekodi imeandikwa💛💚
Inatakiwa waingie kwenye rekodi ya 5 kama walivyobtuliwa Simba,KMC.....Na vibonde wengine
kuna pimbi inabisha!Haikuwa goli hii
Kwahiyo tufanye 4 Kwa sufuri basi.Haikuwa goli hii
Sijambo jirani.
Hawana adabu hawa watoto walikuwa na mdomo Sana, sasa hii inaitwa mwana ukome, mama mkanye mwanao.Sijambo jirani.
Ihefu nao wamechukua mkono jirani. 🖐
Weka video tuoneSimba akimpiga yanga bao 5 ujue 5 kwa bila
Dhulma dhulma Jirani. Kuna goli Mpira uligonga Mwamba refa kaweka katiSijambo jirani.
Ihefu nao wamechukua mkono jirani. [emoji870]
Kabisa Mkuu. Siku ingine watakuwa na adabu.Hawana adabu hawa watoto walikuwa na mdomo Sana, sasa hii inaitwa mwana ukome, mama mkanye mwanao.
Dhulma dhulma Jirani. Kuna goli Mpira uligonga Mwamba refa kaweka kati