FT: Yanga SC 5-0 Polisi Tz | ASFC | Azam Complex | 20.02.2024

FT: Yanga SC 5-0 Polisi Tz | ASFC | Azam Complex | 20.02.2024

Vincenzo Jr

Platinum Member
Joined
Sep 23, 2020
Posts
24,262
Reaction score
58,728
πŸ”°πŒπ€π“π‚π‡πƒπ€π˜πŸ”°

πŸ† ASFC
⚽️ Young Africans SCπŸ†šPolisi TZ
πŸ“† 20.02.2024
🏟 Azam Complex
πŸ•– 1:00 Usiku
Kikosi kinachoanza dhidi ya Polisi Tanzania
20240220_184722.jpg

Mpira umeanza

Dakika ya 13
Goaaaaaaaal Guedeeeee

Dakika 45+1
Chuma cha piliii Farid Mussaβš½οΈπŸ™ŒπŸΌ

Dakika ya 45 niongeza 2
Gwedeeee goli la tatu dakika ya 46;

Mpira mapumziko
ASFC: Guede kacharuka

Joseph Guede 13’, 45+1’, Farid Mussa 33’

HT: Yanga SC 3-0 Polisi Tanzania

Kipindi cha pili kimeanza
Dakika ya 45 Yanga wanaongoza goli 3

Dakika ya 83
Mzize anaongeza goli la 4

Dakika ya 84 mzize anafanyiwa madhambi kwenye boxi refa kaweka penati shekhan anaenda kupiga amepata Yanga SC wanapata goli la 5Shekhaaaaaan anakamilisha mkonoπŸ–πŸΌ

Dakika ya 90+3
𝐅𝐔𝐋𝐋 π“πˆπŒπ„β±οΈ| ASFC

Young Africans SC 5-0 Polisi Tz
20240220_210851.jpg
 
Viingilio vya mchezo wetu wa leo ASFC dhidi ya Polisi Tanzania
20240220_111431.jpg
 
Naushauri uongozi wa Yanga utafakari kutumia uwanja wa Chamazi kwa MECHI ZIJAZO Sababu Azam nao wana timu na wanataka ubingwa hivo kutumia uwanja wa Chamazi mnakaribisha hujuma toka Azam FC.Na hata pia wale jamaa !
Nawasilisha
 
Hivi ile Mechi ya Yanga/ SHUMILETA FC na Kagera Sugar iliyoisha 0-0 na baadae Kamati kuamua kwamba Bao la Kagera Sugar ni Halali inarudiwa lini? au Kagera Sugar ananyongwa na Yanga anapata Point za dhuluma! Kama ni hivyo, Yanga lolote liwakute Dhuluma ni dhambi.
20240219_175341.jpg

Muulize huyu mchezaji wenu Ngoma alikuwa anaenda wapi hapa
 
Hivi ile Mechi ya Yanga/ SHUMILETA FC na Kagera Sugar iliyoisha 0-0 na baadae Kamati kuamua kwamba Bao la Kagera Sugar ni Halali inarudiwa lini? au Kagera Sugar ananyongwa na Yanga anapata Point za dhuluma! Kama ni hivyo, Yanga lolote liwakute Dhuluma ni dhambi.
Mkuu na le makolo nusu fainali mapinduzi.
 
Hivi ile Mechi ya Yanga/ SHUMILETA FC na Kagera Sugar iliyoisha 0-0 na baadae Kamati kuamua kwamba Bao la Kagera Sugar ni Halali inarudiwa lini? au Kagera Sugar ananyongwa na Yanga anapata Point za dhuluma! Kama ni hivyo, Yanga lolote liwakute Dhuluma ni dhambi.
Shumileta fc hahahahahhahahaha....
Yani zile point zinanyongwa usifikirie kurudishwa..maskini kagera...
 
Mbona Simba hawachezi wakati wote wana Mechi za Kimataifa.
Simba Jikazeni Kiume acheni Janja Janja.
Viongozi wa 5imba ni washamba sana, timu toka icheze na Geita tarehe 12, wameomba mapumziko hadi tareh 24 ndo wana mechi na Asec, imagine izo ni siku 12 timu haichezi eti kisa inajiandaa na mechi ya kimataifa
 
Naushauri uongozi wa Yanga utafakari kutumia uwanja wa Chamazi kwa MECHI ZIJAZO Sababu Azam nao wana timu na wanataka ubingwa hivo kutumia uwanja wa Chamazi mnakaribisha hujuma toka Azam FC.Na hata pia wale jamaa !
Nawasilisha
Sasa si mjenge uwanja wenu?
 
Back
Top Bottom