Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Hawa madogo wametuharibia sherehe yetu, washuke daraja sasa.mechi imeuzwa tayari 3-2 wanalia nini **** hawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa madogo wametuharibia sherehe yetu, washuke daraja sasa.mechi imeuzwa tayari 3-2 wanalia nini **** hawa
kipa hana kosa,ni beki ndo tatizokipa keshhafanya yake
Bado hawaamini kama kweli wameshinda,bado wamejificha.Aya utoo njoeni mmeshinda
Hata goli la 2 ni offsideGoli la tatu ni kama offside japo kipa wa Mwadui alizembea mpira wa kucheza kwa miguu yeye anajaribu kudaka
nini,nina cha kupoteza mkuu? mwanaume unatakiwa kujiamini,unakuja humu baada ya kushinda
Mbona kama unalia mkuu pole sana ulimdhamini masainini,nina cha kupoteza mkuu? mwanaume unatakiwa kujiamini,unakuja humu baada ya kushinda
Mapopoma mmerudi baada ya kushinda kwabinde sio? Fanyeni marekebisho kwenye kikosi chenu, mtalaumu watu bure tu.Ukisoma huu uzi ndio utajua vile Simba imejaza matikiti maji.
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Kipa wa,mwadui hastahili lawama yoyoteGoli la tatu ni kama offside japo kipa wa Mwadui alizembea mpira wa kucheza kwa miguu yeye anajaribu kudaka