OkDirection Ya Mpira Ulikuwa Unaelekea Golini Hamna Alichokifanya Dante
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee kweli kwenye soka sio kiwango tu, hadi bahati zipoMpira uliopigwa na Mayele ukamkuta Andrew Vincent akaunganisha kwenda golini kwake
Kabisa mkuuAisee kweli kwenye soka sio kiwango tu, hadi bahati zipo
Hadi tz wakina Maguire wapo
Basi KMC wana ongozaMkuu tuwe wana michezo, tusitawaliwe na hisia badala ya uhalisia. Kuna mchongo gani pale?
Ndio unajuwa leo, mnavyoshinda kibahati huwa hulioni hilo?Aisee kweli kwenye soka sio kiwango tu, hadi bahati zipo
Ndugu zetu Wanapenda kujipendekeza