FT: Young Africans 2 - 0 KMC | NBC Ligi Kuu | Benjamin Mkapa Stadium

FT: Young Africans 2 - 0 KMC | NBC Ligi Kuu | Benjamin Mkapa Stadium

Kmc wameupigwa mwingi sana wangekuwa makini leo kesho ingefanyika press conference kubwa pale bwawani
 
Kibunda ambacho inapata team inayoingia robo fainali CAFCL ni $600k na kwa anaefika hatua hiyo CAFCC ni $300k ampapo ukijaribu kulingaisha na mpunga wa kombe la ligi ni sawa na mavi tu, kwahiyo usidharau swala la team kufika robo fainali katika hayo mashindano.

Huku kwenye ligi ya ndani kuweka heshima tu, lakini huwezi kujivunia hilo.
Timu inayo jiita kubwa ni aibu kujivunia robo finally
 
Ndugu zetu Wanapenda kujipendekeza
Acha kuongea ongea wewe hz timu za kkoo zina tofauti gani kwenye kunipendekeza serikalini? Si juzi tu hp mlikuwa bize na nakonda na spika au unadhani tumesahau na mkamfanya mmoja wa wajumbe wa bodi ya wakurugenzi alitambulishwa na gabacholi wenu
20220320_013527.jpg
 
Mm Simba ila Yanga kiboko aisee, wanaupiga mwingi kama Bacca ya Guardiola, kuanzia kipa mpk Mayele wote wana control, tofauti na cc tunaruka ruka tu uwanjani, tumejaza wazee na mpira wetu ni kutegemea ndumba tu pale kwa Mkapa.
Taratibu, utauwwawa bure kwa kusema ukweli.
 
Kwahyo malengo yeni ni robo ili mpate kibunda?

Nmekuuliza ni kombe gani la kimataifa ambalo wewe unalo Yanga hawana? Kama hakuna, tuliza mihemko mzee. Kuishia robo fainali na hatua za mtoano haijawahi kuwa counted kama mafanikio ya mpira na ndo maana kwenye makabati utakuta makombe na si sticker za kueleza tulifika robo fainali.

Tottenham hana kombe. Na kwenye kabati lake hawezi kuweka ati alifika fainali kombe la mabingwa dhidi ya Liverpool. Hilo linabaki kuwa fahari ya mdomo tu
Mzee Kuna pesa kule, we unafikiri wale waarabu walianzisha hadi ugomvi kwaajili gani, wanajua wakikwama watakosa pesa nyingi
 
Back
Top Bottom