SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,797
- 25,177
Sasa ulitaka tukujibu kuhusu mashindao ambayo hatumo?Kwa hiyo nyinyi kwenu mechi ni ligi tu ya ndani?
Na kwenye hii ligi wewe si ushatobolewa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa ulitaka tukujibu kuhusu mashindao ambayo hatumo?Kwa hiyo nyinyi kwenu mechi ni ligi tu ya ndani?
Una sifa zote za kuwa shabiki maandazi. Msimu huu timu inayoitwa yanga imefungwa.Yanga imefungwa na timu gani? Amka usingizini nenda kakojowe utajikojolea bure upo ndotoni.
Kaangalie mechi zote mlizocheza msimu uone kama hamna kipigo.Nani katufunga?
Hahaha hamna timu yeyote iliyoifunga Yanga msimu huu wa Ligi kuu.Kaangalie mechi zote mlizocheza msimu uone kama hamna kipigo.
Ishu kuwa umo au haumo sio hoja. ukweli ni kwamba msimu huu utopolo imetobolewa mara mbili.Sasa ulitaka tukujibu kuhusu mashindao ambayo hatumo?
Na kwenye hii ligi wewe si ushatobolewa?
Naona napoteza muda wangu kwako. Ni kwamba umeamua kutoelewa ama kubishana sababu ukolo umekujaa kichwani.Ishu kuwa umo au haumo sio hoja. ukweli ni kwamba msimu huu utopolo imetobolewa mara mbili.
Aaaaah unabagua wewe taja mashindano yote uone kama hamna vipigo.Hahaha hamna timu yeyote iliyoifunga Yanga msimu huu wa Ligi kuu.
Chill. Kunywa maji.
Sasa sisi hapa tunaongelea nini? Tunaongelea Shirikisho au? Huoni tunaongelea Ligi kuu?Aaaaah unabagua wewe taja mashindano yote uone kama hamna vipigo.
Kwa hiyo utopolo imeanzishwa kwa ajili ya ligi ya ndani tu?Naona napoteza muda wangu kwako. Ni kwamba umeamua kutoelewa ama kubishana sababu ukolo umekujaa kichwani.
Haya leta mechi ya ligi kuu ambayo Yanga kafungwa ewe kolo lililokithiri
Useless.Kwa hiyo utopolo imeanzishwa kwa ajili ya ligi ya ndani tu?
Sijaona wa kumuweka benchi injinia pale simba.Kwa hiyo utopolo imeanzishwa kwa ajili ya ligi ya ndani tu?
Kuna utopolo mwenzio kasema msimu huu hamjafungwa hakuspecify , kasema msimu huu.Sasa sisi hapa tunaongelea nini? Tunaongelea Shirikisho au? Huoni tunaongelea Ligi kuu?
Babu huko kimataifa, umeshinda kombe lipi ambalo yanga hana? Au kombe la robo fainali?Kuna utopolo mwenzio kasema msimu huu hamjafungwa hakuspecify , kasema msimu huu.
Ngo'mbe mmemaliza kuchunga si tulimpa bocco kazi hiyo kabaki?Kuna utopolo mwenzio kasema msimu huu hamjafungwa hakuspecify , kasema msimu huu.
Kwa hiyo kufika robo fainali CAF na kuchukua ubingwa wa ligi ya ndani wewe unaona bora ubingwa? Hakika wewe ni utopolo.Babu huko kimataifa, umesinda kombe lipi ambalo yanga hana? Au kombe la robo fainali?
Kwahiyo hapa ile hoja ya kusema kwamba Yanga ndo team pekee ambayo haijafungwa Africa kama mnavyotamba inakuwa haina mashiko, maana tayari mliwahi kufungwa na wale wanigeria ambao ni waafrica pia.Naona napoteza muda wangu kwako. Ni kwamba umeamua kutoelewa ama kubishana sababu ukolo umekujaa kichwani.
Haya leta mechi ya ligi kuu ambayo Yanga kafungwa ewe kolo lililokithiri
Kibunda ambacho inapata team inayoingia robo fainali CAFCL ni $600k na kwa anaefika hatua hiyo CAFCC ni $300k ampapo ukijaribu kulingaisha na mpunga wa kombe la ligi ni sawa na mavi tu, kwahiyo usidharau swala la team kufika robo fainali katika hayo mashindano.Babu huko kimataifa, umesinda kombe lipi ambalo yanga hana? Au kombe la robo fainali?
Utopolo wana kiu nalo balaa.Kwa hiyo kufika robo fainali CAF na kuchukua ubingwa wa ligi ya ndani wewe unaona bora ubingwa? Hakika wewe ni utopolo.