FT: Young Africans 2 - 0 KMC | NBC Ligi Kuu | Benjamin Mkapa Stadium

FT: Young Africans 2 - 0 KMC | NBC Ligi Kuu | Benjamin Mkapa Stadium

Fei Toto ameshuka sana kiwango siku hizi , mechi kibao anacheza chini ya kiwango.
 
Na nyinyi zamu yenu ya kupigwa 💉💉 inakaribia. Ni vizuri mkaanza mapema kujiandaa kisaikolojia.

Yanga ya msimu huu ukitoa nayo sare, ni lazima ushangilie kama walivyofanya Mbeya City. Nje na sare, ni kipigo tu na kutetema.
Kwani msimu huu hamjafungwa?
 
Back
Top Bottom