Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli KOLO ni KOLO mpaka kufikiri.Kwa hiyo kufika robo fainali CAF na kuchukua ubingwa wa ligi ya ndani wewe unaona bora ubingwa? Hakika wewe ni utopolo.
Hao wanaijeria ni wangapi kwenye ligi kuu ya Tanzania? Au umewafananisha na Mtibwa wa manungu?Kwahiyo hapa ile hoja ya kusema kwamba Yanga ndo team pekee ambayo haijafungwa Africa kama mnavyotamba inakuwa haina mashiko, maana tayari mliwahi kufungwa na wale wanigeria ambao ni waafrica pia.
Kiu na kombe gani ulilonalo?Utopolo wana kiu nalo balaa.
Kombe la robo fainaliKwa hiyo kufika robo fainali CAF na kuchukua ubingwa wa ligi ya ndani wewe unaona bora ubingwa? Hakika wewe ni utopolo.
Kwahyo malengo yeni ni robo ili mpate kibunda?Kibunda ambacho inapata team inayoingia robo fainali CAFCL ni $600k na kwa anaefika hatua hiyo CAFCC ni $300k ampapo ukijaribu kulingaisha na mpunga wa kombe la ligi ni sawa na mavi tu, kwahiyo usidharau swala la team kufika robo fainali katika hayo mashindano.
Huku kwenye ligi ya ndani kuweka heshima tu, lakini huwezi kujivunia hilo.
[emoji23][emoji23][emoji23]na la kuongoza kundi. Wanakuambia tuko vizuri kimataifa ukiuliza walishinda nn wanakuambia walipoishia kana kwamba ni kombe.Kombe la robo fainali
Unafikiri padogo sana, panua kufikiri. Hivi hujui kama kila hatua ina zawadi? Hivi unafikiri neno kombe lingekuwa na maana kama kusingekuwa na zawadi ya fedha? Kwa hiyo zawadi ya robo fainal unaona sio chochote kwa hiyo bora uishie makundi au husishiriki kabisa? Hakika unafikiri padogo.Kweli KOLO ni KOLO mpaka kufikiri.
Kwahyo kombe lako wewe ni kufika robo fainali? Huwa mnaliweka kabati gani hilo kombe la robo fainali?
Kumbe unakaaga ukihesabu makombe ya robo fainali? Pathetic. Kweli mbumbumbu kwenye ubora wake.
It is either you win the cup or you lose. There is no in between, mzee [emoji23][emoji23]
Tupo vizuri kimataifa, umeshinda makombe gani? Tumefika robo fainali [emoji1787][emoji1787]
Tukiachana na habari za vibunda vya CAFCC na CAFCL ambavyo kwako huoni kama ni faida kwa club.Kwahyo malengo yeni ni robo ili mpate kibunda?
Nmekuuliza ni kombe gani la kimataifa ambalo wewe unalo Yanga hawana? Kama hakuna, tuliza mihemko mzee. Kuishia robo fainali na hatua za mtoano haijawahi kuwa counted kama mafanikio ya mpira na ndo maana kwenye makabati utakuta makombe na si sticker za kueleza tulifika robo fainali.
Tottenham hana kombe. Na kwenye kabati lake hawezi kuweka ati alifika fainali kombe la mabingwa dhidi ya Liverpool. Hilo linabaki kuwa fahari ya mdomo tu
Babu, simple and clear, kipi ulichonacho kabatini ambacho yanga hawana??? Kombe la robo fainali?Unafikiri padogo sana, panua kufikiri. Hivi hujui kama kila hatua ina zawadi? Hivi unafikiri neno kombe lingekuwa na maana kama kusingekuwa na zawadi ya fedha? Kwa hiyo zawadi ya robo fainal unaona sio chochote kwa hiyo bora uishie makundi au husishiriki kabisa? Hakika unafikiri padogo.
Tuna hili ambalo tunaenda kulichukua. Kwako wewe unayejigamba upo vizuri, una lipi la kuizidi Yanga? Robo fainali?Tukiachana na habari za vibunda vya CAFCC na CAFCL ambavyo kwako huoni kama ni faida kwa club.
Nyinyi mna kombe gani mpaka sasa??
Mpaka Simba Sc imeshavuta kibunda (faida), Hembu muulize huku anakoona ni pazuri kuliko kimataifa, ana kombe gani??Unafikiri padogo sana, panua kufikiri. Hivi hujui kama kila hatua ina zawadi? Hivi unafikiri neno kombe lingekuwa na maana kama kusingekuwa na zawadi ya fedha? Kwa hiyo zawadi ya robo fainal unaona sio chochote kwa hiyo bora uishie makundi au husishiriki kabisa? Hakika unafikiri padogo.
Tikisa kichwa mara moja halafu ujibu vizuri tena swali langu, mpaka sasa mna kombe gani? Sisi bado tunalo la ligi na sasa tunavuta vibunda vya CAF, nyinyi mna kipi ndani ya hii miaka mnne?Tuna hili ambalo tunaenda kulichukua. Kwako wewe unayejigamba upo vizuri, una lipi la kuizidi Yanga? Robo fainali?
Una kombe gani la kimataifa ambalo Yanga hajawahi kulipata?
Kwa hiyo hujui kama mpira ni biashara? Neno kombe bila zawadi ya maana inakuwa na faida gani kwa timu? Hujui kama klabu huwa zinajiwekea malengo kuanzia kuingia makundi wengine robo fainal, nusu wengine ubingwa kwenye mashindano makubwa? Kwa hiyo ukiwa kiongozi kama unaona uwezo wa kuchukua ubingwa haupo utaona bora husishiriki hayo mashindano?Babu, simple and clear, kipi ulichonacho kabatini ambacho yanga hawana??? Kombe la robo fainali?
Babu, hivi unaelewa kinachojadiliwa hapa au fuvu la kichwa limegoma?Tikisa kichwa mara moja halafu ujibu vizuri tena swali langu, mpaka sasa mna kombe gani? Sisi bado tunalo la ligi na sasa tunavuta vibunda vya CAF, nyinyi mna kipi ndani ya hii miaka mnne?
Then chill mzee. Acha kujikweza na uwezo wa kuchukua kombe la kimataifa hamna kiasi ukifika robo unaona ni kombe.Kwa hiyo hujui kama mpira ni biashara? Neno kombe bila zawadi ya maana inakuwa na faida gani kwa timu? Hujui kama klabu huwa zinajiwekea malengo kuanzia kuingia makundi wengine robo fainal, nusu wengine ubingwa kwenye mashindano makubwa? Kwa hiyo ukiwa kiongozi kama unaona uwezo wa kuchukua ubingwa haupo utaona bora husishiriki hayo mashindano?
Maelezo yote haya ya nini??Babu, hivi unaelewa kinachojadiliwa hapa au fuvu la kichwa limegoma?
Mlichukua ligi mfululizo mara nne, we had already done that, what is new? Na kombe la msimu huu tunalibeba huku mkiendelea na malalamiko kuwa huku na kule.
Hoja yenu kwamba Yanga ni wa ligi ya bongo tu, nyie mikijiona wa kimataifa, mna nini mlichoizidi Yanga huko umataifani? Kombe la robo fainali na mtoano? Au kombe la kibunda cup?
Bring statistic hapa, mmeshinda makombe mangapi ya kimataifa zaidi ya kusema tuliongoza kundi tukafika robo fainali
Fikiri kidogo tu jinsi nchi za Afrika zinavyoota kufika semi final world cup, utaelewa uzito wa mashindano makubwa kila hatua. Unajifariji kwa vile timu lenu halina mafanikio hata kiduchu huko kimataifa ila naamini siku mtakayo tinga hata makundi uta ruka ruka kwa kushangilia.Then chill mzee. Acha kujikweza na uwezo wa kuchukua kombe la kimataifa hamna kiasi ukifika robo unaona ni kombe.
You are still low bunch. Stop thumping your chest for being a village hero. Siku ukifika nusu fainali nahisi mtajiona nyie afrika nzima hamna mwingine. Wakina Memelodi sijui wafanye nn
Si unaoma we mwenyewe unataka Simba Sc ijilinganishe na akina Mamelod?Then chill mzee. Acha kujikweza na uwezo wa kuchukua kombe la kimataifa hamna kiasi ukifika robo unaona ni kombe.
You are still low bunch. Stop thumping your chest for being a village hero. Siku ukifika nusu fainali nahisi mtajiona nyie afrika nzima hamna mwingine. Wakina Memelodi sijui wafanye nn
Una wivu mkali sanaYanga bana huwa wanataka waonekane kuwa wao na serikali ni kitu kimoja.