FT: Young Africans 2 - 0 KMC | NBC Ligi Kuu | Benjamin Mkapa Stadium

Kwa hiyo kufika robo fainali CAF na kuchukua ubingwa wa ligi ya ndani wewe unaona bora ubingwa? Hakika wewe ni utopolo.
Kweli KOLO ni KOLO mpaka kufikiri.

Kwahyo kombe lako wewe ni kufika robo fainali? Huwa mnaliweka kabati gani hilo kombe la robo fainali?

Kumbe unakaaga ukihesabu makombe ya robo fainali? Pathetic. Kweli mbumbumbu kwenye ubora wake.

It is either you win the cup or you lose. There is no in between, mzee [emoji23][emoji23]

Tupo vizuri kimataifa, umeshinda makombe gani? Tumefika robo fainali [emoji1787][emoji1787]
 
Kwahiyo hapa ile hoja ya kusema kwamba Yanga ndo team pekee ambayo haijafungwa Africa kama mnavyotamba inakuwa haina mashiko, maana tayari mliwahi kufungwa na wale wanigeria ambao ni waafrica pia.
Hao wanaijeria ni wangapi kwenye ligi kuu ya Tanzania? Au umewafananisha na Mtibwa wa manungu?
 
Kibunda ambacho inapata team inayoingia robo fainali CAFCL ni $600k na kwa anaefika hatua hiyo CAFCC ni $300k ampapo ukijaribu kulingaisha na mpunga wa kombe la ligi ni sawa na mavi tu, kwahiyo usidharau swala la team kufika robo fainali katika hayo mashindano.

Huku kwenye ligi ya ndani kuweka heshima tu, lakini huwezi kujivunia hilo.
Kwahyo malengo yeni ni robo ili mpate kibunda?

Nmekuuliza ni kombe gani la kimataifa ambalo wewe unalo Yanga hawana? Kama hakuna, tuliza mihemko mzee. Kuishia robo fainali na hatua za mtoano haijawahi kuwa counted kama mafanikio ya mpira na ndo maana kwenye makabati utakuta makombe na si sticker za kueleza tulifika robo fainali.

Tottenham hana kombe. Na kwenye kabati lake hawezi kuweka ati alifika fainali kombe la mabingwa dhidi ya Liverpool. Hilo linabaki kuwa fahari ya mdomo tu
 
Kweli KOLO ni KOLO mpaka kufikiri.

Kwahyo kombe lako wewe ni kufika robo fainali? Huwa mnaliweka kabati gani hilo kombe la robo fainali?

Kumbe unakaaga ukihesabu makombe ya robo fainali? Pathetic. Kweli mbumbumbu kwenye ubora wake.

It is either you win the cup or you lose. There is no in between, mzee [emoji23][emoji23]

Tupo vizuri kimataifa, umeshinda makombe gani? Tumefika robo fainali [emoji1787][emoji1787]
Unafikiri padogo sana, panua kufikiri. Hivi hujui kama kila hatua ina zawadi? Hivi unafikiri neno kombe lingekuwa na maana kama kusingekuwa na zawadi ya fedha? Kwa hiyo zawadi ya robo fainal unaona sio chochote kwa hiyo bora uishie makundi au husishiriki kabisa? Hakika unafikiri padogo.
 
Kwahyo malengo yeni ni robo ili mpate kibunda?

Nmekuuliza ni kombe gani la kimataifa ambalo wewe unalo Yanga hawana? Kama hakuna, tuliza mihemko mzee. Kuishia robo fainali na hatua za mtoano haijawahi kuwa counted kama mafanikio ya mpira na ndo maana kwenye makabati utakuta makombe na si sticker za kueleza tulifika robo fainali.

Tottenham hana kombe. Na kwenye kabati lake hawezi kuweka ati alifika fainali kombe la mabingwa dhidi ya Liverpool. Hilo linabaki kuwa fahari ya mdomo tu
Tukiachana na habari za vibunda vya CAFCC na CAFCL ambavyo kwako huoni kama ni faida kwa club.

Nyinyi mna kombe gani mpaka sasa??
 
Unafikiri padogo sana, panua kufikiri. Hivi hujui kama kila hatua ina zawadi? Hivi unafikiri neno kombe lingekuwa na maana kama kusingekuwa na zawadi ya fedha? Kwa hiyo zawadi ya robo fainal unaona sio chochote kwa hiyo bora uishie makundi au husishiriki kabisa? Hakika unafikiri padogo.
Babu, simple and clear, kipi ulichonacho kabatini ambacho yanga hawana??? Kombe la robo fainali?
 
Tuna hili ambalo tunaenda kulichukua. Kwako wewe unayejigamba upo vizuri, una lipi la kuizidi Yanga? Robo fainali?

Una kombe gani la kimataifa ambalo Yanga hajawahi kulipata?
 
Mpaka Simba Sc imeshavuta kibunda (faida), Hembu muulize huku anakoona ni pazuri kuliko kimataifa, ana kombe gani??
 
Tuna hili ambalo tunaenda kulichukua. Kwako wewe unayejigamba upo vizuri, una lipi la kuizidi Yanga? Robo fainali?

Una kombe gani la kimataifa ambalo Yanga hajawahi kulipata?
Tikisa kichwa mara moja halafu ujibu vizuri tena swali langu, mpaka sasa mna kombe gani? Sisi bado tunalo la ligi na sasa tunavuta vibunda vya CAF, nyinyi mna kipi ndani ya hii miaka mnne?
 
Babu, simple and clear, kipi ulichonacho kabatini ambacho yanga hawana??? Kombe la robo fainali?
Kwa hiyo hujui kama mpira ni biashara? Neno kombe bila zawadi ya maana inakuwa na faida gani kwa timu? Hujui kama klabu huwa zinajiwekea malengo kuanzia kuingia makundi wengine robo fainal, nusu wengine ubingwa kwenye mashindano makubwa? Kwa hiyo ukiwa kiongozi kama unaona uwezo wa kuchukua ubingwa haupo utaona bora husishiriki hayo mashindano?
 
Tikisa kichwa mara moja halafu ujibu vizuri tena swali langu, mpaka sasa mna kombe gani? Sisi bado tunalo la ligi na sasa tunavuta vibunda vya CAF, nyinyi mna kipi ndani ya hii miaka mnne?
Babu, hivi unaelewa kinachojadiliwa hapa au fuvu la kichwa limegoma?

Mlichukua ligi mfululizo mara nne, we had already done that, what is new? Na kombe la msimu huu tunalibeba huku mkiendelea na malalamiko kuwa huku na kule.

Hoja yenu kwamba Yanga ni wa ligi ya bongo tu, nyie mikijiona wa kimataifa, mna nini mlichoizidi Yanga huko umataifani? Kombe la robo fainali na mtoano? Au kombe la kibunda cup?

Bring statistic hapa, mmeshinda makombe mangapi ya kimataifa zaidi ya kusema tuliongoza kundi tukafika robo fainali
 
Kwa hiyo hujui kama mpira ni biashara? Neno kombe bila zawadi ya maana inakuwa na faida gani kwa timu? Hujui kama klabu huwa zinajiwekea malengo kuanzia kuingia makundi wengine robo fainal, nusu wengine ubingwa kwenye mashindano makubwa? Kwa hiyo ukiwa kiongozi kama unaona uwezo wa kuchukua ubingwa haupo utaona bora husishiriki hayo mashindano?
Then chill mzee. Acha kujikweza na uwezo wa kuchukua kombe la kimataifa hamna kiasi ukifika robo unaona ni kombe.

You are still low bunch. Stop thumping your chest for being a village hero. Siku ukifika nusu fainali nahisi mtajiona nyie afrika nzima hamna mwingine. Wakina Memelodi sijui wafanye nn
 
Babu, hivi unaelewa kinachojadiliwa hapa au fuvu la kichwa limegoma?

Mlichukua ligi mfululizo mara nne, we had already done that, what is new? Na kombe la msimu huu tunalibeba huku mkiendelea na malalamiko kuwa huku na kule.

Hoja yenu kwamba Yanga ni wa ligi ya bongo tu, nyie mikijiona wa kimataifa, mna nini mlichoizidi Yanga huko umataifani? Kombe la robo fainali na mtoano? Au kombe la kibunda cup?

Bring statistic hapa, mmeshinda makombe mangapi ya kimataifa zaidi ya kusema tuliongoza kundi tukafika robo fainali
Maelezo yote haya ya nini??

Nimekuuliza una kombe gani?

Hizo habari za kusema kwamba unakwenda kulichukua, naomba tuzidili ukishalichukua.

Ukitaka statistics za kimataifa ni pamoja na kufika hatua kadhaa ambazo Yanga hajawahi kuzivuka kama vile kugika robo fainali mara nyingi, kuongoza kundi mara kadhaa na mengine mengi.

Au wewe akili yako inawaza kuwa statistics ndo MAKOMBE yenyewe??
 
Then chill mzee. Acha kujikweza na uwezo wa kuchukua kombe la kimataifa hamna kiasi ukifika robo unaona ni kombe.

You are still low bunch. Stop thumping your chest for being a village hero. Siku ukifika nusu fainali nahisi mtajiona nyie afrika nzima hamna mwingine. Wakina Memelodi sijui wafanye nn
Fikiri kidogo tu jinsi nchi za Afrika zinavyoota kufika semi final world cup, utaelewa uzito wa mashindano makubwa kila hatua. Unajifariji kwa vile timu lenu halina mafanikio hata kiduchu huko kimataifa ila naamini siku mtakayo tinga hata makundi uta ruka ruka kwa kushangilia.
 
Then chill mzee. Acha kujikweza na uwezo wa kuchukua kombe la kimataifa hamna kiasi ukifika robo unaona ni kombe.

You are still low bunch. Stop thumping your chest for being a village hero. Siku ukifika nusu fainali nahisi mtajiona nyie afrika nzima hamna mwingine. Wakina Memelodi sijui wafanye nn
Si unaoma we mwenyewe unataka Simba Sc ijilinganishe na akina Mamelod?

Kwenye hiyo paragraph ya mwisho kwanini usiseme "Wakina Yanga sijui wafanye nini"
 
Back
Top Bottom