FT: Young Africans 2 - 0 KMC | NBC Ligi Kuu | Benjamin Mkapa Stadium

FT: Young Africans 2 - 0 KMC | NBC Ligi Kuu | Benjamin Mkapa Stadium

Pole, Kolo. Ulipanga Yanga ateseke mzunguko wa pili, kila unachokiona unadhani mazingaombwe. Ulidhani utashinda wewe kila siku?

Hahaa na tutakutana na wewe na huambui kitu vilevile.
Record zenu zitabaki ni ubingwa wa historia zilizopitwa na wakati
 
Back
Top Bottom