FT: Young Africans 2 - 0 KMC | NBC Ligi Kuu | Benjamin Mkapa Stadium

Huu wa sasa hivi una uwezo wa kuuchukua? [emoji1][emoji1][emoji1] Au wajifurahisha tu?
Ukweli ni kwamba msimu huu tumewekeza zaidi kwenye soka la ushindani wa kimataifa na ushindani wa Simba na Yanga
 
Mngewekeza mngekuwepo Shirkisho? Mngetolewa na jwaneng klabu ya mabingwa?
 
Back
Top Bottom