Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
- Thread starter
- #401
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muda unaruhusu.Mayele anaanza dharau sasa
Magoli yote ya mchongo, utopolo wanaharibu soka letu.
Ukweli ni kwamba msimu huu tumewekeza zaidi kwenye soka la ushindani wa kimataifa na ushindani wa Simba na YangaHuu wa sasa hivi una uwezo wa kuuchukua? [emoji1][emoji1][emoji1] Au wajifurahisha tu?
Hawaamini kuwa mpaka sasa Yanga bado wanaongoza ligi.Na nyinyi zamu yenu ya kupigwa 💉💉 inakaribia. Ni vizuri mkaanza mapema kujiandaa kisaikolojia.
Yanga ya msimu huu ukitoa nayo sare, ni lazima ushangilie kama walivyofanya Mbeya City. Nje na sare, ni kipigo tu na kutetema.
Jipige finga halafu nusa kisha sema hii ni kwa hisani ya GSM.Bahasha zinafanya kaz hapa daaah!! kazi kweli kweli kwa soka la bongo
Hat trick! Kawaida yake goli moja.Hizi Nafasi Ambazo Mayele Amewawekea Angewekewa Yeye Walahi Leo Angepiga Hat-trick.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mngewekeza mngekuwepo Shirkisho? Mngetolewa na jwaneng klabu ya mabingwa?Ukweli ni kwamba msimu huu tumewekeza zaidi kwenye soka la ushindani wa kimataifa na ushindani wa Simba na Yanga
Kwani maahindano ya Shirikisho ya CAF sio ya kimataifa?Mngewekeza mngekuwepo Shirkisho? Mngetolewa na jwaneng klabu ya mabingwa?
Ndo yalikuwa malengo yenu? Yani mliwekeza ili mtoke klabu bingwa muende shirikisho?Kwani maahindano ya Shirikisho ya CAF sio ya kimataifa?
Hilo halina ubishi msimu huu.Yanga wanaonekana kama hawazuiliki