Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Nasikilizia updates hapa endelea kutuhabarishaKabisaaa
PamojaNasikilizia updates hapa endelea kutuhabarisha
KMC wanaenda kwa speed sana wapatapo mpira kitu ambacho ni hatari kwa Yanga. Halafu Yanga wanapoteza sana mipira ni kama vile hakuna maelewano mazuri mbeleYanga itashinda tu
Kwani mayele hayupo mkuu?Leo Yanga tunaomba kikombe kituepuke
Yanga wanapiga fauloFei toto anawekwa chini nje kidogo ya lango la KMC
Huenda uzoefu ukawabeba utoKwani mayele hayupo mkuu?
Usiwe na shaka hii mechi mnashinda
Mayele anahitaji timu itengeneze nafasi ili atupieKwani mayele hayupo mkuu?
Usiwe na shaka hii mechi mnashinda
Hawa KMC wametumwa sio bure