Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
- Thread starter
-
- #141
Mkuu...leo kmc kama wana jambo lao
Kmc wanafikaa
What a mis
Kwann mkuuTukiwakilishwa na uto kimataifa haki ya mama naiona aibu inakuja kwa taifa
Wamepania Na Wamekuja Kwa Energy YoteMkuu...leo kmc kama wana jambo lao
point tatu lazima wazitoeHawa nao kama Mbeya City tu, wazee wa kuikamia Yanga. Wakicheza na timu ya size yao, hugeuka na kuwa urojo.