Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
Hakika Mkuu.Bado mapema mno!!! Tuzidi maombi
Huu unazi ndio unatuangusha SimbaHujui mpira wewe unafurahia magori..
Shirikisho bwana!Timu zote mbovu. Hii kweli ni shirikisho.
πππππππ
Nisaidie tu kumchangamsha maana huku nyumbani hali siyo nzuri..!!
'kukupenda nakupenda kweli sikatai, uwepo wako ni mzuri maishani nafurahi, ila yamoto yamoto hii yanga, mpira wa kitoto wa kitoto siye hatuwezi...!'π§π€πΉKama unanipenda kweli na unajali kuhusu mimi, hebu ungana na mimi kuombea hizi goli zirudiπ.
. View attachment 2523240Hadi sasa mpira wanaocheza yangu ni mbovu na hizo gori zimeingia kwa sababu mazembe ni wabovu..
Simba jana ilicheza mpira mkubwa sana ila raja walikuwa bora sana na ni mafundi.
πππππππ
Nisaidie tu kumchangamsha maana huku nyum
πππππππ
Nisaidie tu kumchangamsha maana huku nyumbani hali siyo nzuri..!!
bani hali siyo nzuri..!!
wewe unajua, ndo maana unashangilia timu ya wanaojua pia na jana walionesha mpira mkubwa sanaHujui mpira wewe unafurahia magori..
Mkuu ungeigeuza chini juu Ili wafurahie
Na hizo stress tukimtundika na soju atadamka kweli..!?? Eti baba Mac Alpho kesho J'3 utaamka kweli..??πππ€πππππngoja nimtafutie soju,kimchi na jajamieoni bila kusahau tambi za santa Lucia,atasahau tu jana maana yaliyopita sio basi kurudi kinyume nyume bali kudaka million kumi kabla ya half time
Mpira Bora kwanini hamkufunga?mkatoka na hamsa[emoji3]Hadi sasa mpira wanaocheza yangu ni mbovu na hizo gori zimeingia kwa sababu mazembe ni wabovu..
Simba jana ilicheza mpira mkubwa sana ila raja walikuwa bora sana na ni mafundi.