ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Mmeanza lini?Nasemaje Nasemaje Nasemajeeeee ! Makolo hawaamini kinachotokea ,wacha tuwafundishe maana ya KWA MKAPA HATOKI MTU.
Ile ya kumfuata muarabu kinyumenyume ulielewa?Hivi hapa yanga ni bora, au TP Mazembe ndio wazembe. Sijaelewa bado.
Jibu la kwanza ndiyo sahihiHivi hapa yanga ni bora, au TP Mazembe ndio wazembe. Sijaelewa bado.
Kakosa goal lingineMusonda anapaisha hapa
Bado 2-0 mpira haujaisha bado..Hivi hapa yanga ni bora, au TP Mazembe ndio wazembe. Sijaelewa bado.
Yaani mwanafunzi wa primary amfundishe mwalimu wa sekondari?Nasemaje Nasemaje Nasemajeeeee ! Makolo hawaamini kinachotokea ,wacha tuwafundishe maana ya KWA MKAPA HATOKI MTU.
[emoji3]nimependsaaaaBao bado ni 2-0 hayo mengine hayatuhusu
faisal atajuta kuleta mapoziMudathir Yahya[emoji123]
Wanazima data hawa[emoji250]β[emoji834]Mkuu ungeigeuza chini juu Ili wafurahie
Ingia ukawasaidie.Mazembe ya sasa sio ya zaman,ilishajifia.
But still hizo mbili zitarudshwa tu
[emoji23]bado kuna mtu atauliza nini kimefanya ligi yetu kuwa ya 5 kwa ubora
yanga anacheza soka, waliobaki kwenye nbc wanacheza kabumbu