Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Dakika ya 31 kipindi cha piliDah... Wamekuwa wamotoo
Na Million 10Yanga mnashinda ila mtalala na viatu
Kheee seriously [emoji1623]Mechi hii ni Draw hadi dakika ya 90
Unakuja kucheza na Yanga kifuani umeandika jezi yako simba
Mnaweza kuongeza ila moto mnaopelekewa mtalala na viatuNa Million 10
[emoji1623][emoji1623]Simba jana tulikutana na timu imara..leo naona wanacheza pipa na mfuniko!
Wivu tuYanga wamechoka kiaina
Wako hoi walitumia nguvu nyingi kipindi cha kwanzaYanga wamechoka kiaina