Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
TP Mazembe siyo wabovu wamekutana na timu nzuri.DRC Vs DRC..Upotolo hawa Tp Mazembe mnao uwezo kuwafunga hata 5
Upatikane wapi leo ndio nagundua fundi kakosea paa la nyumbaUsingizi unadhani utaupata basii[emoji23]
π¬ππππ
Izo 10 ni za TP tunajuaMpaka sasa Milioni 15 kibindoni. [emoji23][emoji23][emoji23]
Ongeza na zile tatu za mheshimiwa RC
Tatizo hamtaki ukweli,yanga msimu huu wanakikosi kizuriTP Wazembe hovyo kabisaaaaView attachment 2523302
Wivu ni kidondaDRC Vs DRC..Upotolo hawa Tp Mazembe mnao uwezo kuwafunga hata 5